CONSULTANT

MJENWA

  • mjengwa.blogspot.com

Wednesday 10 February 2010

Magari ya Honda pia kurejeshwa

Katika pigo lingine kubwa kwa kampuni za magari nchini Japan ,kampuni ya Honda imesema inaagiza kurejeshwa kwa takriban magari 4,000 kutoka nchini Marekani kutokana na hitilafu za kiufundi.
Habari hizo zimetolewa muda mfupi baada ya kampuni kubwa zaidi ya magari duniani Toyota, kutangaza kuwa itaagiza kurejeshwa kwa magari aina ya Prius kutokana na hitilafu kama hizo.

Kampuni ya Honda imesema inachukua hatua hiyo kutokana na hitilafu katika mifuko ya hewa inayozuia maumivu wakati wa ajali.BCC-Swahili

Hitilafu hiyo imehusishwa na ajali kumi na mbili nchini Marekani. Idadi kubwa ya magari yaliyoathiriwa yako nchini humo.

Magari hayo ni pamoja

No comments:

Post a Comment